Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wanacheza muziki au zinapigwa? [emoji16][emoji16][emoji16]
Wanacheza muziki au zinapigwa? [emoji16][emoji16][emoji16]
huyo sikai alisema alitembea na kijanafunzi wakati yupo chuo na akamtaja jina nakumbuka alisema anaitwa chris kama nipo sahihi.Uliuona huo uzi?
Kweli mambo ni mengi muda ni mchache. Huyo SIKAI kuna sredi alianzisha akasema kuwa mwaka huu anagonga 50 na ni mtu mzima na heshima zake. Sasa 50 kweli na purukushani hizi za kulalwa na kudhalilishana na maandaeitini wa humu wapi na wapi? Si angalau aje kwetu wahenga wenzie?
Kazi kweli kweli...
Aiseee [emoji16][emoji16][emoji16]Hata Ukifuta kuna Screenshot.....! Inasemekana street ukipiga picha na Drake unapata mikosi yaani Nuksi. Hatujui kama ni kweli ila sasa. Juzi kati mwezi March Bondia mwenye mvuto Uingereza Anthony Joshua alipiga picha na Drake na kupost akiandika Naenda kuifuta laana ya kupiga picha na Drake June Mosi (Siku ya Jana alikuwa na mpambano na chibonge Andy Ruiz kutoka Mekiko). •Mkosi haujaondoka Acha AJ achezee kipigo kikali kalamba sakafu mara nne kwenye sparingi yaani kapigwa TKO kama kitoto mwanaukome. Sasa washikaji wanabelieve kuwa Drake (Ni Bundi) ukipiga naye picha una deal ama pambano unapoteza. Doooh sasa kibongowise huyu hapa Drake umekutana naye njiani ukiwa unaenda kusign Deal utampotezea au ndiyo itakuwa God’s Plan. ?
Aiseee [emoji16][emoji16][emoji16]
AJ kachezea kipigo ka mwanasesere.
Lakini mbona hao Toronto Raptors wanaendelea kushinda japo shujaa wao Drake yupo nao bega kwa bega?
Huyo AJ hana tofauti na spurs waliodhan laana ya klopp itawabeba na kuwapa ubingwa wakaishia kuzembea mechi nzimaAiseee [emoji16][emoji16][emoji16]
AJ kachezea kipigo ka mwanasesere.
Lakini mbona hao Toronto Raptors wanaendelea kushinda japo shujaa wao Drake yupo nao bega kwa bega?
Hapo nimeelewa sasa. Kumbukoni. Enzi za chuo...huyo sikai alisema alitembea na kijanafunzi wakati yupo chuo na akamtaja jina nakumbuka alisema anaitwa chris kama nipo sahihi.
sasa inawezekana jamaa ndiye brown mwenyewe kutoka kolomijee.
kuna utofauti mkubwa sana niliouana kati ya yule jamaa na thread za ndege joni.
alichokosea yule ahjumma kwenye uzi wake ni kumtaja jina la mvulana
Wanacheza kwayaWanacheza muziki au zinapigwa? [emoji16][emoji16][emoji16]
Huyo jiki nae atutokee hapa hahaha
Zisipohifadhiwa vizuri hizi zinaozaga na kuwa na vifunza vidogo dogo vingiiiii. Ukizinunua Kariakoo au huku kwetu Mbagala zichunguze kwanza.
Hahahaha hili jina ahjumma unalipendahuyo sikai alisema alitembea na kijanafunzi wakati yupo chuo na akamtaja jina nakumbuka alisema anaitwa chris kama nipo sahihi.
sasa inawezekana jamaa ndiye brown mwenyewe kutoka kolomijee.
kuna utofauti mkubwa sana niliouana kati ya yule jamaa na thread za ndege joni.
alichokosea yule ahjumma kwenye uzi wake ni kumtaja jina la mvulana
Basi Roho Mtakatifu atakuwa keshawashukia [emoji16][emoji16][emoji16]Wanacheza kwaya
Uwiiii kumbe aiseee ntakua makiniZisipohifadhiwa vizuri hizi zinaozaga na kuwa na vifunza vidogo dogo vingiiiii. Ukizinunua Kariakoo au huku kwetu Mbagala zichunguze kwanza.
Mhindi katajirika balaa. Wengi walimtegemea ushindi huyu
member fulani humu ndani mwenye nyuzi za ajabu ajabu.Hapo nimeelewa sasa. Kumbukoni. Enzi za chuo...
Huyo Ndege John unamtaja tajaga sana. Ni nani? Ni code ya mtu fulani ama?