Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mpango wa Arsenal ni kumpiga bei Ozil ili tu waondokane na shughuli ya kulipa Pauni 350,000 kila wiki.
Kocha Arsene Wenger ndiye aliyewaachia majanga hayo Arsenal baada ya kumsainisha mkataba mpya Mjerumani huyo Februari mwaka jana na kumlipa mshahara mrefu hivyo wakati alikuwa akiingia kwenye umri wa miaka 30.
 
Numbisa nisaidie kunitafutia uzi uliofutwa nielewe vizuri.
 
Ukijumlisha na kina Aaron Ramsey, Petr Cech na Danny Welbeck wanaoondoka kwenye kikosi hicho, Arsenal inapumua kwa sababu itakuwa imepunguza kiasi cha Pauni 50 milioni kwenye bajeti yao ya mishahara wakati wakiingia kwenye msimu mpya.
 
Kichapo kwenye Europa League kimewakosesha Pauni 90 milioni ambazo wangezitumia kuongezea bajeti yao ya usajili ya Pauni 45 milioni. Mipango yao ilikuwa kuwanasa Wilfried Zaha na James Maddison, lakini hao wawili kuwapata unahitaji kuwa na Pauni 140 milioni, wakati wao bajeti yao ya sasa ni Pauni 45 milioni, hivyo ni lazima wauze wachezaji wengi tu akiwamo Ozil.
 
[emoji1787][emoji1787]
FB_IMG_1559458988633.jpeg
 
Huyu jamaa wanamchukulia poa ila inawezekana akawa anasema kweli kuhusu uzi aliofunguliwa 😁
 
Uliuona huo uzi?

Kweli mambo ni mengi muda ni mchache. Huyo SIKAI kuna sredi alianzisha akasema kuwa mwaka huu anagonga 50 na ni mtu mzima na heshima zake. Sasa 50 kweli na purukushani hizi za kulalwa na kudhalilishana na maandaeitini wa humu wapi na wapi? Si angalau aje kwetu wahenga wenzie?

Kazi kweli kweli...
 
Back
Top Bottom