Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bao la dakika ya pili ya mchezo la mkwaju wa Salah liliipa Liverpool uongozi kwenye mchezo huo. Bao hilo ambalo penalti yake ilionekana kuwa na utata kutokana na mpira kuonekana kama umegusa kwenye kifua cha Mousa Sissoko na sio mkono, lakini mwamuzi Damir Skomina akaamuru ipigwe penalti na Salah akausukumiza mpira nyavuni na kuamsha shangwe za mashabiki.
 
Hata hivyo, bao hilo halikuonekana kuivuruga Spurs ya Mauriccio Pochettino ambayo ilionekana kutulia muda wote wa dakika 90 huku ikicheza soka safi, lakini kikwazo ilikuwa kuipenya ngome ya Liverpool iliyokuwa chini ya Vigil van Djik.
 
Kama sio umakini wa safu ya ulinzi na umahiri wa kipa wa Liverpool, Alisson basi washambuliaji wa Spurs walioongozwa na nahodha, Harry Kane, Delle Ali na Son wangeweza kuleta madhara. Son na Kane walilisakama lango la Liverpool, lakini mashuti yao hayakuwa na madhara.
 
60677142_497435627462651_3680183672784902492_n.jpg
 
Ngoja tuone atakavyosonga mbele baada ya kipigo hiki. Anaweza akajifunza kutokana nacho na akaishia kuwa bondia bora zaidi au ndiyo inaweza kuwa mdororo moja kwa moja. He showed zero mental toughness and this is worrisome kwa champion mkubwa kama yeye.
Staki tena kumuamini huyu jamaa. Nasimama na Wilder kuanzia leo asubuhi.
 
Kama sio umakini wa safu ya ulinzi na umahiri wa kipa wa Liverpool, Alisson basi washambuliaji wa Spurs walioongozwa na nahodha, Harry Kane, Delle Ali na Son wangeweza kuleta madhara. Son na Kane walilisakama lango la Liverpool, lakini mashuti yao hayakuwa na madhara.
 
Wife of Nigeria’s president, Aisha Buhari, has challenged security agencies to quickly end banditry and other insecurity challenges in parts of the country.

The First Lady who made the call on Saturday, April 1, in Katsina while distributing relief materials to over 25,000 victims of bandits attacks, said it was necessary to degrade the criminals before they end the civil population.

“The security agents should either assist to take action or allow the situation continue until bandits finished killing our people,” she said.
 
member fulani humu ndani mwenye nyuzi za ajabu ajabu.

Aisee. Kuna wengine wapo JF kusaka umaarufu. Halafu wanatumia id feki. Kama wataka kuwa maarufu inasaidia ukitumia majina yako kamili.
 
Back
Top Bottom