D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
nimesoma habari bila ya kuangalia tarehe hivyo basi pengine upo sahihiSi juzi juzi hapa walibadili noti zao hawa jamaa?
nimesoma habari bila ya kuangalia tarehe hivyo basi pengine upo sahihiSi juzi juzi hapa walibadili noti zao hawa jamaa?
[emoji23][emoji23]Hata Ukifuta kuna Screenshot.....! Inasemekana street ukipiga picha na Drake unapata mikosi yaani Nuksi. Hatujui kama ni kweli ila sasa. Juzi kati mwezi March Bondia mwenye mvuto Uingereza Anthony Joshua alipiga picha na Drake na kupost akiandika Naenda kuifuta laana ya kupiga picha na Drake June Mosi (Siku ya Jana alikuwa na mpambano na chibonge Andy Ruiz kutoka Mekiko). •Mkosi haujaondoka Acha AJ achezee kipigo kikali kalamba sakafu mara nne kwenye sparingi yaani kapigwa TKO kama kitoto mwanaukome. Sasa washikaji wanabelieve kuwa Drake (Ni Bundi) ukipiga naye picha una deal ama pambano unapoteza. Doooh sasa kibongowise huyu hapa Drake umekutana naye njiani ukiwa unaenda kusign Deal utampotezea au ndiyo itakuwa God’s Plan. ?
Kweli tupu. Kila mtu na lwake ndiyo asili yetu. Ndo maana ni vigumu mno kuwafanya watu wawe na fikra moja haijalishi kama ni fikra sahihi namna gani[emoji122][emoji122][emoji122]
lakin ndio raha ya uwepo wa demokrasia kwenye forum kama hizi, haipendezi kuona wadau wote tuna fikra sawa.
Alikuwa na maisha magumu utafikiri digidigi. Anazinduliwa huku halafu kule kuna wazinduaji kama 10 wanalalamika nao wanataka kuzindua presha yake sipati picha. Yawezekana hata alikonda aisee [emoji16][emoji16][emoji16]Halafu bae wa uzi hata hakua na amani anaingia kuchungulia hali ilivyo kisha huyooo anakimbia
hii style mpya iliowekwa na uefa ya kupiga picha kwa timu nzima nimeipenda sana
Ni kama miaka minne au mitano hivi nyuma. Sina uhakikanimesoma habari bila ya kuangalia tarehe hivyo basi pengine upo sahihi
Tatizo mrithi wa bae wa uzi muoga muoga anazinduliwa kiaina anakimbia kimbia,watunza kumbukumbu bado tunajaza mafailiAlikuwa na maisha magumu utafikiri digidigi. Anazinduliwa huku halafu kule kuna wazinduaji kama 10 wanalalamika nao wanataka kuzindua presha yake sipati picha. Yawezekana hata alikonda aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
Hicho cheo cha uBae wa uzi kweli bado anacho? Hakijachukuliwa kweli?[emoji2221][emoji2221][emoji2221]
nilisoma kichwa cha habari tu.Ni kama miaka minne au mitano hivi nyuma. Sina uhakika
Anakuja kwa kasi. Tumpe muda...Tatizo mrithi wa bae wa uzi muoga muoga anazinduliwa kiaina anakimbia kimbia,watunza kumbukumbu bado tunajaza mafaili