myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Duh!!AJ amekutana na tipwa tipwa tetema.
ngumi za siku hizi wanaume wanapigana round 7 lakini hakuna hata mmoja mwenye uvimbe usoni.
bora ufuatilie ngumi za mbuzi wazee wa kurushiana vichwa utastarehe
View attachment 1115297