capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
IndeedAisee. Kuna wengine wapo JF kusaka umaarufu. Halafu wanatumia id feki. Kama wataka kuwa maarufu inasaidia ukitumia majina yako kamili.
AJ amekutana na tipwa tipwa tetema.Point
Video hii hapa. Natumia App na sijui kama itaonekana. Labda kwa wanaotumia browser. Askofu kapaniki balaa. Nasikia ana kanisa kubwa na lina satellite campuses nyingi zinaendeshwa na maaskofu wake. Satellite campuses hizi ndo anaziita vioski na anatishia kuwa anaweza kuvifunga vyote...Ha hah
Wewe ndo mwenye habari Bro, mimi nimeiona tu ikipita kwa S. Media.
Nategemea pia video nitapata kwako.
Mkuu niaje[emoji122][emoji122][emoji122]
lakin ndio raha ya uwepo wa demokrasia kwenye forum kama hizi, haipendezi kuona wadau wote tuna fikra sawa.
Fedha
Ati tipwa tipwa tetema [emoji16][emoji16][emoji16]AJ amekutana na tipwa tipwa tetema.
ngumi za siku hizi wanaume wanapigana round 7 lakini hakuna hata mmoja mwenye uvimbe usoni.
bora ufuatilie ngumi za mbuzi wazee wa kurushiana vichwa utastarehe
View attachment 1115297
raha ya fedha ya noti iwe na picha ya dikteta uchwara, ukienda dukani unanunua mpaka visivyonunulika kwa hasira.Fedha
Inasikitisha sana !!!dah kama mzoga wa punda
polisi walichukuliwa hatua gani baada ya kashfa hiyo?Inasikitisha sana !!!
JOGOO la mjini limewika huko watu wote kimyaaa! Ndio hatimaye Liverpool wamerudi tena kwenye anga za wababe wa Ulaya, baada ya jana usiku kuichapa Tottenham Hotspurs kwenye fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Mabao mawili ya Mo Salah a.k.a Egyptian King na Divock Origi yalitosha kabisa kupoza machungu ya Kocha Jurgen Klopp na mashabiki wake ya kulikosa taji la Ligi Kuu England.
At nikikohoa mnaitika 😀 😀Video hii hapa. Natumia App na sijui kama itaonekana. Labda kwa wanaotumia browser. Askofu kapaniki balaa. Nasikia ana kanisa kubwa na lina satellite campuses nyingi zinaendeshwa na maaskofu wake. Satellite campuses hizi ndo anaziita vioski na anatishia kuwa anaweza kuvifunga vyote...
View attachment 1115300
Sijui ila nasikia RPC aliyetoa amri hiyo na alikuwepo maeneo ya tukio alirudishwa makao makuu na kupandishwa cheo. Hao madogo hapo ndo wakabebeshwa mzigo. Hata sijui kama walifungwa ama la...polisi walichukuliwa hatua gani baada ya kashfa hiyo?
Mambo ni magumu. Hata kama kweli kachapiwa lakini duh si kwa kupaniki huku wallahi !!!At nikikohoa mnaitika 😀 😀
Haya makanisa msingi wake nini?
Rubbish
Nikweli bro humu ndani ni kisanga ata mwenyewe mpaka kutulia humu likes ilikua ni kukwepa changamoto nyingi nilizokua napitia humu Jf maana ilikua ni tabu kuliko ata ninazoweza kupitia nikiwa mtaani...
Aki na Ukwa 🤪
kwa msaada wa malisa GJ
Makala hii iliandikwa kwa kiingereza na Mwandishi Kay Musonda na kuchapishwa na jarida la Modern Ghana, toleo no.215 la April 1 mwaka huu. Nimefanya tafsiri isiyo rasmi ya Kiswahili pengine tutapata la kujifunza.
________________
Afrika kwa sasa inashuhudia aina mpya ya utumwa kupitia Ukristo (ulokole). Aina hii ya utumwa wa imani imewafanya watu wengi kuwa wavivu wa kufikiri na uwezo wa kutafakari mambo umedumazwa.
Baadhi ya wachungaji wa kilokole wamejipa uungu mtu. Wanapenda kutukuzwa, kuabudiwa na kusujudiwa. Wanajituza wao zaidi kuliko kumtukuza yule wanayemhubiri.