Mzee Baba naona unajipigia pande. Halafu unataka uwe Katibu Mkuu wa CHACHAWA, thubutu yake! Ila hata wavuvi kwenye huu uzi tupo, umetutenga hapo! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Oooh Jizazi....Liverpool Oyeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Poti naye wivu tu usimsikilize [emoji16][emoji1787][emoji1787]
Nimetoka zangu kununia mihogo ya ftari huu ndo mfuko niliopewa nimebaniwa solotape na kamba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1115475
Tayari kawa femazi. Nasikia IG yake inakaribia folowazi milioni mbili tayari...
Wazazi wako wanakuombea uishi miaka mingi ila wew ukifika kwa boyfriend wako unaanza ooooh! Baby kill meeee!
Mbwa wew utakufa kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuona mtunza records [emoji51] [emoji51] [emoji109]