Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hilo nalijua sana kwani napenda sana vitumbua na chapatti na nimefungiwa mara nyingi tu kwenye gazeti, lakini leo hii sikubali katu kufungiwa chapatti, vitumbua au mishikaki kwenye gazeti. Nitabeba chombo changu waniwekee humo. Sijui hayo magazeti yamepitia wapi hivyo usalama wake ni wa hati hati. Picha ipo kwenye gazeti la leo la The Citizen.

Chapati tunafungiwa hivi toka zamani ila BAK hii picha yangu imefikaje hapa 🤔
 
Sawasawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…