Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Aisee umenipa za uso 🙆♀️🙆♀️🙆♀️Hilo nalijua sana kwani napenda sana vitumbua na chapatti na nimefungiwa mara nyingi tu kwenye gazeti, lakini leo hii sikubali katu kufungiwa chapatti, vitumbua au mishikaki kwenye gazeti. Nitabeba chombo changu waniwekee humo. Sijui hayo magazeti yamepitia wapi hivyo usalama wake ni wa hati hati. Picha ipo kwenye gazeti la leo la The Citizen.
Aisee umenipa za uso 🙆♀️🙆♀️🙆♀️
Hahahaha aya ya mwisho katika comment nimesoma huku nimejificha.Mie na weye? Hatupeani za uso buanaaa
Hahahaha aya ya mwisho katika comment nimesoma huku nimejificha.
😀😀😀😀😀😂😂😂😂😂😂😂
Asalam alaykum
[emoji23][emoji23][emoji23]
Bukheri allahadulah,kaifa nte?Alyekum salam,kaifa?
Twaibu,,vipi unaendeleaje weweBukheri allahadulah,kaifa nte?
Habari ya uzima Esta?u mzima weweMambo 6 Unayoweza Kujifunza Kutoka Kwa Mashabiki wa Mpira wa Miguu
Aisee unajua kiarabu mzee baba sikutegemea kama utajibu hii comment,Naendelea vizuri.Twaibu,,vipi unaendeleaje wewe