Marahabaaa opsss salama kabisa. Mzima kama Liverpool na kakikombe kao. Za wewe?upo poa?Habari ya uzima Esta?u mzima wewe
Ni Mafundi wa kuburst.Tena waangushiaji huwa ni kiboko kwa Kijogoo [emoji16][emoji16]
Kuruta hafi hata apigwe shoti,utaniambia nini nikiwa ndani ya peckshot.Afande Nina mshonoo kuruti bhna mbona msosi hubakizi kama unaumwa sana.
ha ha ha pale andaeitini anavyotaman ukubwa,polepole utafika tu...bora Klop ametoa gunduMarahabaaa opsss salama kabisa. Mzima kama Liverpool na kakikombe kao. Za wewe?upo poa?
Safi kabisa..kwako je?Kwema mkuu
Hahaha asubuh njema piaha ha ha pale andaeitini anavyotaman ukubwa,polepole utafika tu...bora Klop ametoa gundu
Mimi mzima pia!!
Asubuhi njema!