mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahahaWazazi wako wanakuombea uishi miaka mingi ila wew ukifika kwa boyfriend wako unaanza ooooh! Baby kill meeee!
Mbwa wew utakufa kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu mkuuOooh Jizazi....
Mpaka moto huu ukapoe tutakuwa tumeseka sana indeed wallahi mane lavusi mi ai tachi niu mane everedei Masaki Peninsula is my home japo kwa sasa nimehamia Dubai AMUN RA The one and only one [emoji16][emoji16][emoji16]
Anakuona tuOooh Jizazi....
Mpaka moto huu ukapoe tutakuwa tumeseka sana indeed wallahi mane lavusi mi ai tachi niu mane everedei Masaki Peninsula is my home japo kwa sasa nimehamia Dubai AMUN RA The one and only one [emoji16][emoji16][emoji16]
Bashite shida sanaBashite kazua mengine [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1115740
Wazungu wanapenda matukio niliona clip moja crazy things kuna bingwa wa kutema makohozi yaani likiruka mbali ndio bingwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ufemazi siku hizi unakuja kirahisi mno!
kakikombe kama haka ka yangaMarahabaaa opsss salama kabisa. Mzima kama Liverpool na kakikombe kao. Za wewe?upo poa?
12:0706:55
Hatari kweli[emoji16][emoji16] unaambiwa dunian kuna mambo ndo haya ss
Yap kupata WC gold medal si mchezoThamani yake sokoni ni kufuru,anatajwa kama mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa dunia ajaye.naam Mbappe anatikisa dunia katika miaka yake 20 tu Mbappe tayari ameshafanya mambo ambayo si Ronaldo wala Messi aliweza kufanya alipokuwa na umri kama huu...Naam anaitwa Kylian Mbappe aka Golden Boy...ama Gifted foots....Njoo Madrid Mbappe.View attachment 1115978
OverratedThamani yake sokoni ni kufuru,anatajwa kama mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa dunia ajaye.naam Mbappe anatikisa dunia katika miaka yake 20 tu Mbappe tayari ameshafanya mambo ambayo si Ronaldo wala Messi aliweza kufanya alipokuwa na umri kama huu...Naam anaitwa Kylian Mbappe aka Golden Boy...ama Gifted foots....Njoo Madrid Mbappe.View attachment 1115978
Asante sana mkuuNaam msimu ndo umeisha hivyo wazee wa Gegenpressing mlistahili hasa baada ya kupindua meza kibabe wazee wa anfield ama kops hili taji mmelisubiri kitambo hasa baada ya kuwa na ukame mmoja balaa, Hongereni sana nilichojifunza toka kwenu ni kwamba Patience, Hardwork forever pay...na kutokukata tamaa, mmewalipa mashabiki zenu kile wanachostahili hasa baada ya kuwa nyuma yenu na kuwasapot kwa muda mrefu hata mlipokuwa mmechacha na kupotea na huu ndio ushabiki wa kweli, You guys will NEVER WALK ALONE.Tunawasubiri 2019/2020.
View attachment 1115989
Kamwene.
June, 2019.
WhyOverrated
Tuko poa kabisaVipi wakuu mko poa
HahahahaView attachment 1115973Dah Yanga tuna kazi [emoji16][emoji16]
Nini tena mkuuView attachment 1115963
hii nchi kilichobakia ni tamko la wananchi kuvuliwa nguo njiani kama hawatokuwa na risiti, kazi kwenu munaotembea bila ya kuwa na nguo za hakiba.
mutatembea matako wazi kama kima punju
Hivi ni kweli Joseph kabila ni mtoto wa kulea Laurent kabilaJe Kuna uhusiano wowote wa Joseph Kabila kuhusika katika mauaji ya Laurent Desiree Kabila?... Je kuna lolote lile linalohusishwa na ulipaji kisasi cha baba yake marehemu Kanambe Kazemberembe? Au upi uhusiano baina ya "Operation Banyamrenge" na mkakati wa Bahima Platform dhidi ya Joseph kabila na kifo cha Mzee Kabila?.