Unakomwelekeza huko siko kabisaa. Afadhali aje huku apate mausia ya kimaisha kwa wazee wa miaka 80 [emoji16][emoji16][emoji16]Karbu andaeitini,,umeshaonana na katibu wa maandaeitini wa huu uzi??? bwana Davet
Mzee baba huoni anakatika hapo 🙆♀️🙆♀️🙆♀️[emoji2][emoji2][emoji2]nipo hapa ntakurinda[emoji123][emoji123],,mwili nyumba kama mbabe wa AJ
Katika jamii yetu hii ya Kiswahili, huwa unawasalimiaje wazee wenye miaka 80+? Ndiko kasalamu hako kazuri nakazungumzia [emoji16][emoji16][emoji16]Kapi hako, ujue mimi andaeitini nahitaji shule[emoji38]!
Vyema kabisa
Habari zenu wana uzi wa likes ....
Zimekuwa siku nyiiiingii sijaingia humu Niliwamiss[emoji847][emoji847][emoji847]
Nimepita kuwasalimu
[emoji2][emoji2][emoji2]Unakomwelekeza huko siko kabisaa. Afadhali aje huku apate mausia ya kimaisha kwa wazee wa miaka 80 [emoji16][emoji16][emoji16]
Haha haha!Katika jamii yetu hii ya Kiswahili, huwa unawasalimiaje wazee wenye miaka 80+? Ndiko kasalamu hako kazuri nakazungumzia [emoji16][emoji16][emoji16]
Mai dia polaiti dota. Izi zati yu?Habari zenu wana uzi wa likes ....
Zimekuwa siku nyiiiingii sijaingia humu Niliwamiss[emoji847][emoji847][emoji847]
Nimepita kuwasalimu
Asante sana...Haha haha!
Ndio maana jana nilionaaa msisitizo mahali[emoji848][emoji848][emoji2]
Hiyo utaipata mpaka uchoke SYB.[emoji125]