Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa hivyo iPhone hutaki tena?

Sawa!!
Bro...Usinifanye nikatoa povu kiaina yaani [emoji16][emoji16][emoji16]

Epuka sana kuwa mmoja wa hawa losers ambao mpaka watoe misaada yao basi hao wanaojaribu kuwasaidia ni lazima wateseke, wadhalilishwe, wanyimwe uhuru na wasimangwe. Na siku ya kutoa huo msaada ukifika basi vyombo vya habari lukuki na makamera kibao. Misaada ya aina hiyo ni chukizo kwa Bwana...

Na wewe actually hutoi msaada. You lost a bet...and you gonna pay utake usitake [emoji123][emoji123][emoji123]
 
IMG_20190603_115448_120.jpeg
 
Unataka iPhone ama Samsung Bro?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha, bonge la kampeni[emoji23]
Shabiki mwingine aliandika: "Man United ya sasa ni changamoto kaka...karibu," huku mtu wa tatu aliandika: "Hakuna changamoto kubwa kuliko kucheza na Ashley Young na mabeki wengine kwenye timu yetu Matthijs." Mtu wa nne aliandika: "Kujiunga na United ni changamoto! Karibu Matthijs de Ligt!!" huku mtu wa tano aliandika: "Changamoto ni United, mantiki ni Barcelona".
 
Binti yangu usiye nitoka akilini mwangu, mama yangu wa faraja. Sitaki kabisa nikusifie kwa mema ili shetani asije kunipiga ngwara nikiwa nimejifunga kitenge cha shangazi yako pasipo kidani ndani.
Marahaba binti yangu kipenzi, kwema mama ?
Hahahahha anko una maneno kama mzaramo vile

Kwema kabisa anko kama hivi yaani
61387663_2388218618089072_6834666722475097756_n.jpg
 
Back
Top Bottom