Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa hivyo iPhone hutaki tena?

Sawa!!
Bro...Usinifanye nikatoa povu kiaina yaani [emoji16][emoji16][emoji16]

Epuka sana kuwa mmoja wa hawa losers ambao mpaka watoe misaada yao basi hao wanaojaribu kuwasaidia ni lazima wateseke, wadhalilishwe, wanyimwe uhuru na wasimangwe. Na siku ya kutoa huo msaada ukifika basi vyombo vya habari lukuki na makamera kibao. Misaada ya aina hiyo ni chukizo kwa Bwana...

Na wewe actually hutoi msaada. You lost a bet...and you gonna pay utake usitake [emoji123][emoji123][emoji123]
 
Unataka iPhone ama Samsung Bro?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha, bonge la kampeni[emoji23]
 
Binti yangu usiye nitoka akilini mwangu, mama yangu wa faraja. Sitaki kabisa nikusifie kwa mema ili shetani asije kunipiga ngwara nikiwa nimejifunga kitenge cha shangazi yako pasipo kidani ndani.
Marahaba binti yangu kipenzi, kwema mama ?
Hahahahha anko una maneno kama mzaramo vile

Kwema kabisa anko kama hivi yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…