Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asee, siku zinaenda haraka sana, supa staa Gareth Bale wamtoe kwa mkopo!!!?
Gareth Bale kwa upande wake amekuwa akihusishwa na mpango wa kuondoka kwenye timu hiyo huku akipigiwa kura za mashabiki asilimia 91 wakimtaka aondoke, lakini Calderon alisema Bale asiondoke moja kwa moja, atolewe tu kwa mkopo.
 
Utapoteza mahusiano na watu

Katika safari ya kuelekea kufanikiwa mambo mengi hutokea, kama vile kupoteza fedha, vitu, watu n.k. Kumbuka kuwa siyo watu wote watakaoweza kwenda pamoja na wewe katika safari hii, kwani kuna wengine hawana hamasa uliyo nayo, hawapendi ufanikiwe, wana mambo au shughuli zao n.k.
 
Hamna sababu ya kulazimishana kutengeneza mpya saivi.Kuna jamaa katengeneza mpya haina hata miezi miwili inabidi alipie upya.
Hata yangu ina mwaka mmoja tu. Na nilizungushwa kweli kuipata. Now I have to go through the same shit again ili tu watu wapige hela. PATHETIC !!!

Hii karibia ya 5 narenew ila kila ukienda ishu ni zile zile - kalete barua ya katibu kata na mtaa, sijui mihuri ya wanasheria, cheti cha kuzaliwa...Jizazi....Hamna database angalau ya kuwa na hizi kumbukumbu? Kupotezeana muda tu...
 
Utawasikia wakisema hili hautafanikiwa, hili halikufai, fulani alifanya akashindwa, halinipi faida, n.k. Jambo la kufanya hapa ni kulinda fikra na nafsi yako visipokee mawazo na misimamo ya hawa watu; kwani kwa kufanya hivi utaweza kutazama tu lengo lako na kufanya bidii kulifikia.
 
Utachukiwa bila sababu

Kwa hakika binadamu hapendi mafanikio ya mwingine, moyo wake hujaa chuki, maumivu na husuda pale mwingine anapofanikiwa. Wapo watu wanaotamani ubaki kama ulivyo na usiweze kufanya kitu cha kuwazidi wao au walichoshindwa kukifanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…