moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hahahaha, uzi leo unachekesha sana[emoji23][emoji23]
Aisee Single mama nina watoto na wajukuu bila kusahau vitukuu utaweza baba
Namfahamu vizuri huyu bro. He is very responsible. Labda tu kompetisheni itakuwa kubwa ila ataweza [emoji106][emoji106][emoji106]