capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Nimeicheki tena, ni IPhone hiyo!
Nimeicheki tena, ni IPhone hiyo!
More than 90 Galaxy Note 7 smartphones have overheated due to defective batteries in just the US alone, and some users have reported battery explosions that have been blamed for fires in a Jeep and garage. The US Consumer Product Safety Commission announced a formal recall of Samsung's Galaxy Note 7 on Thursday.Sep 19, 2016
Soko la Samsung lilishuka kutokana na hii issue.
Lini imeripotiwa iPhone explosion??
Wakorea wanajua nini??Hapo ndipo Apple wanapowapiga bao Samsung. [emoji1][emoji1]
Carba! Mambo?[emoji41][emoji41]View attachment 1116771
[emoji41][emoji41]View attachment 1116771
Duh!! Raha[emoji41][emoji41]View attachment 1116771
SawasawaUtaanguka
Kuanguka ni hatua inayowakabili watu wengi sana katika safari yao ya mafanikio. Tatizo ni namna watu wanavyoshughulikia kuanguka kwao, kumbuka “Usiulize umeangukia wapi bali uliza umejikwaa wapi”.
Kweli...Jifunze kutumia changamoto na maumivu kuwa kama hamasa ya kufanya juhudi zaidi kufikia mafanikio. Hakuna haja ya kulalamika na kukata tamaa bali anzia ulipo kwenda mbele ili kukamilisha malengo yako.
[emoji106][emoji106]
Mh!!Wozaaaa !!!
View attachment 1116683
Poa capi.Carba! Mambo?
Sijakuona kitambo?[emoji113]