Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1116739


Samsung or iPhone?
 
Hata yangu ina mwaka mmoja tu. Na nilizungushwa kweli kuipata. Now I have to go through the same shit again ili tu watu wapige hela. PATHETIC !!!

Hii karibia ya 5 narenew ila kila ukienda ishu ni zile zile - kalete barua ya katibu kata na mtaa, sijui mihuri ya wanasheria, cheti cha kuzaliwa...Jizazi....Hamna database angalau ya kuwa na hizi kumbukumbu? Kupotezeana muda tu...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Poti hukupata ile ya kurenew tu online halafu wenyewe wanaku mailia?
 
[emoji1][emoji1][emoji1] Daemusin kwenye kiwango chako cha ubora
teh teh teh nimeshiba uji wa nyama, muda huu najuta kwa nini sijafuata mwezi wa ndugu zetu wa kenya na uganda.
kesho ingelikuwa ni mwendo wa kula keki, vileja, katlesi za mayai kama panya.

dunia moja lakini miezi ni miwili, waislamu wa siku hizi aliyeturoga ashafariki
 
Nimeicheki tena, ni IPhone hiyo!
More than 90 Galaxy Note 7 smartphones have overheated due to defective batteries in just the US alone, and some users have reported battery explosions that have been blamed for fires in a Jeep and garage. The US Consumer Product Safety Commission announced a formal recall of Samsung's Galaxy Note 7 on Thursday.Sep 19, 2016

Soko la Samsung lilishuka kutokana na hii issue.


Lini imeripotiwa iPhone explosion??
 
Back
Top Bottom