capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Duh!! Hatimae apatikana...hujambo jirani? Haya huagi ukienda China jirani...Poa capi.
Za wewe
Nipo sawa,.. umepotea sana Carba.Poa capi.
Za wewe
Jirani mashambani hakuna mtandao.Duh!! Hatimae apatikana...hujambo jirani? Haya huagi ukienda China jirani...
Kukumiss tu
Kwema jirani...nakuja kuchukua zawadi hata ya mdoli....Jirani mashambani hakuna mtandao.
Kwema?
😂😂😂😂
Nipo capi mambo tu yanabanaNipo sawa,.. umepotea sana Carba.
Mdoli we mtoto jirani?[emoji38][emoji38]Kwema jirani...nakuja kuchukua zawadi hata ya mdoli....
Andaeitini mambo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kukumiss tu
Jirani, ubwabwa twale kesho au hatuli? Tualikane tafadhali!
😂😂😂jirani chochote ntapokea....Mdoli we mtoto jirani?[emoji38][emoji38]
Shukran yegoAwww, I miss you more! Karibu tena kilingeni!
Basi jiandae kupokea mchicha uongeze damu jirani[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]jirani chochote ntapokea....