carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Insidious[emoji41][emoji41][emoji440][emoji440]
Kumbe hawa jamaanao hua wanafanya hii kitu? Nilijua wao wataalamu kwenye maua tuBreakdance 2, Electric BoogalooView attachment 1116506
Takabar Llahu minna waminkum, habari za siku dada mpenziEid mubarak
Daah safi sanaBreakdance 2 electric boogaloo 1984View attachment 1116509
Hivi kesho ni eid au?Takabar Llahu minna waminkum, habari za siku dada mpenzi
Salama bro, siku imeendaje huko?Habari Bradha
Hivi kesho ni eid au?
Salama bro, siku imeendaje huko?
[emoji120][emoji120]Idi ya kitaifa haijatangazwa, idi ya baadhi ya wanaoswali mwezi wa kimataifa ni kesho
Wewe ulishawahi kuimeiliwa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Poti hukupata ile ya kurenew tu online halafu wenyewe wanaku mailia?
😁😁😁 dah!Pia ndiye mzinduliwaji mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
CC Davet
😀😀😀 Daah!Mpaka sasa anashikilia rekodi ya kuzinduliwa hapa JF. Thrii taimuz endi kauntingi...Vere denjarazi. Ai laiki zisi bro. Wani dei I emu gona yuzi himu ezi e kesi stadi [emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe ulishawahi kuimeiliwa?
Hawa ukitaka wakupe hedeki uwe ba kasafari ka dharura halafu usiwe na konekisheni pale makao makuu...Utakonda [emoji16][emoji16][emoji16]
😂😂😂Ahah, mbona amepata upendeleo hivyo?
Vyeo vyote vizuri amepewa yeye[emoji136][emoji125][emoji125][emoji18]
I know. It was sarcasm. Nina hasira nao sana hawa...[emoji23][emoji23][emoji23]... You missed my point, Poti! Ila hao jamaa hawafai!