Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,500
- 13,145
safi kabisa andaeitini mwenzangu, za kwako?
[emoji23][emoji23][emoji23]poti na wewe bana banaaaaaa
Nimekuta wadau wamenimaliza sana najuta kuchelewa kuingia humuUna furaha leo dave!
Mzima wewe?
[emoji23][emoji23][emoji23]mgumu nakuona. Fanya mpango basi uzinduliweAnother under eighteen in the house?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Au Bro kakunong’oneza chemba? [emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Uhamisho huo wa Lukaku, 26, sasa ni rasmi kuwa upo mashakani kwasababu Inter wanahangaika kupata Pauni milioni 40 ili kufikia masharti ya matumizi ya pesa waliyowekewa na Uefa. (Sun)
Kocha wa zamani wa Manchester United Louis van Gaal amesema beki kisiki na nahodha wa Ajax, Matthijs de Ligt, 19, anapaswa kujiunga na Manchester City msimu ujao. Nyota huyo pia anawaniwa na Barcelona na Man United. (Manchester Evening News)
Salama kabisa, nafurahi kukuona
umeshambuliwa vya kutosha😁😁Nimekuta wadau wamenimaliza sana najuta kuchelewa kuingia humu
Kocha wa zamani wa Manchester United Louis van Gaal amesema beki kisiki na nahodha wa Ajax, Matthijs de Ligt, 19, anapaswa kujiunga na Manchester City msimu ujao. Nyota huyo pia anawaniwa na Barcelona na Man United. (Manchester Evening News)
Kocha wa zamani wa Manchester United Louis van Gaal amesema beki kisiki na nahodha wa Ajax, Matthijs de Ligt, 19, anapaswa kujiunga na Manchester City msimu ujao. Nyota huyo pia anawaniwa na Barcelona na Man United. (Manchester Evening News)
[emoji23][emoji23][emoji23]mgumu nakuona. Fanya mpango basi uzinduliwe
😊😇Salama kabisa, nafurahi kukuona
Huyo ningendako alikua muuza supu sasa kuna kipindi Mbuzi alifia kwake akashindwa kujiongeza hivyo ilibidi mimi na Cole tumpe pindi la maana lakini nashangaa pindi analitumia Capital... eti na yeye anashangaaUnamaanisha nini bro?
😁... vipi leo utakuepo?
🏃♀️🏃♀️Another under eighteen in the house?