Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Nimechelewa kuianza vita ndio maana nilikua nacheka tu 😁umeshambuliwa vya kutosha😁😁
Nimechelewa kuianza vita ndio maana nilikua nacheka tu 😁umeshambuliwa vya kutosha😁😁
Huyu lazima atakuwa Msukuma [emoji16][emoji16][emoji16]Kuna jamaa anazunguka mtaani anatafuta watu 17 wa kuangalia naye muvi… Eti kwa sababu hiyo muvi imeandikwa 18 and above. Kingereza siyo Kizaramo, nae hapendagi ujingaa.
[emoji16]
Kiungo wa Everton raia wa Brazil Richarlison, 22, amesema anafurahishwa kuhusishwa na kutaka kusajiliwa na klabu kongwe za Manchester United na Barcelona.(Teamtalk)
Gugo hiyo...
Denja denja [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haina shida bro nikutanisheni nae tu
UKiungo wa Everton raia wa Brazil Richarlison, 22, amesema anafurahishwa kuhusishwa na kutaka kusajiliwa na klabu kongwe za Manchester United na Barcelona.(Teamtalk)
Jizazi...[emoji16][emoji16][emoji16]Bagesh bebe nang'o
[emoji23][emoji23][emoji23] bila shakaHuyu lazima atakuwa Msukuma [emoji16][emoji16][emoji16]
Gugo hiyo...
😂😂 nikweli bro wakati huo lile povu lako la majuzi nalikumbuka na bado lipo MoyoniBro bro...
Kumalizika kwa mwezi siyo mwisho wa utakatifu na swala. Zingatia sana !!!
Bagesh bebe nang'o
Uwezekano wa Barcelona kumsajili mshambuliaji wa Valencia Rodrigo Moreno, 28, umeongezeka maradufu. (Sport - in Spanish)