Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona anamuelekeza sehemu sahihi kabisa bro, kijana anatakiwa aende sehemu ambapo patampa mafanikioVan Gaal at anamshawish de ligt ajiunge na man City badala ya United.....kisa aliliwa cha mbavu united
Sent from my lephone A7+ using JamiiForums mobile app
Povu gani tena bro?[emoji23][emoji23] nikweli bro wakati huo lile povu lako la majuzi nalikumbuka na bado lipo Moyoni
Uwezekano wa Barcelona kumsajili mshambuliaji wa Valencia Rodrigo Moreno, 28, umeongezeka maradufu. (Sport - in Spanish)
Uwezekano wa Barcelona kumsajili mshambuliaji wa Valencia Rodrigo Moreno, 28, umeongezeka maradufu. (Sport - in Spanish)
Ndiyo. Amebarikiwa sana kufikisha umri huo. Wamebakia yeye na Kenneth Kaunda wa Zambia. Wapigania uhuru wenzao wote walishatangulia mbele ya haki.Amezeeka
Kweli kabisa,Ndiyo. Amebarikiwa sana kufikisha umri huo. Wamebakia yeye na Kenneth Kaunda wa Zambia. Wapigania uhuru wenzao wote walishatangulia mbele ya haki.
Why, sir?Like my comment
Sasa TH...Kweli kabisa,
Solar au huu wa kawaida? [emoji16][emoji16][emoji16]Umeme
Sawa bro kama umesahau ila hiyo ni kawaida kwa aliekula NdiziPovu gani tena bro?
Nina muda mrefu kweli sijatoa povu wala kutolewa povu. Una uhakika hujachanganya madesa bro?