Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Masharti ya gagula wangu yananibana bana! Tunguli zote za UGUMU nimezishikilia mimi, hazifanyiwi masihara hizi ujue! [emoji23][emoji23]
Kutokuimarika kiafya kwa beki wa Manchester City Eliaquim Mangala kumezima harakati za klabu yake ya zamani FC Porto ambao walikuwa wanataka kumrudisha Ureno Mfaransa huyo mwenye miaka 28. (A Bola - in Portuguese)
Hiyo ni nadharia tete (haipothesia) yangu...(Jokes, of course)...