Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kocha wa Uholanzi Ronald Koeman amesema hatoikacha kazi yake ya sasa ili kujiunga na Barcelona iwapo klabu hiyo itaamua kumfurusha mkufunzi wake Ernesto Valverde. (De Telegraaf - in Dutch)
Kocha wa Uholanzi Ronald Koeman amesema hatoikacha kazi yake ya sasa ili kujiunga na Barcelona iwapo klabu hiyo itaamua kumfurusha mkufunzi wake Ernesto Valverde. (De Telegraaf - in Dutch)
Oh boy !!!Hili jambo huwezi kuliepuka nimeanza kuelewa zile comments za Shimba wa buyenze na maswali yake mnajikuta wajanja.
Kocha wa Uholanzi Ronald Koeman amesema hatoikacha kazi yake ya sasa ili kujiunga na Barcelona iwapo klabu hiyo itaamua kumfurusha mkufunzi wake Ernesto Valverde. (De Telegraaf - in Dutch)
Kuwa na amani mhenga mimi nina ugomvi na vijana hawa watatu Capitalpool,Ningendako na DavetOh boy !!!
Kama kuna lolote nimekorofisha naomba nisamehewe [emoji870][emoji870][emoji870]
Maswali gani tena alikuuliza mpaka umeyaungia dots mpwendwa?Hili jambo huwezi kuliepuka nimeanza kuelewa zile comments za Shimba wa buyenze na maswali yake mnajikuta wajanja.
Afadhali. Komaa nao hao maandaeitini mpaka wanyoroke...Kuwa na amani mhenga mimi nina ugomvi na vijana hawa watatu Capitalpool,Ningendako na Davet
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]obebeItabidi tuongee na Brin na Larry Page aisitishe Google kwa wiki kadhaa tuone haka ka Prisca katakapokimbilia! [emoji23][emoji23]
Hahahaha kama watanishindwa nitaomba msaada wako mpendwaAfadhali. Komaa nao hao maandaeitini mpaka wanyoroke...
View attachment 1116914