Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ziro [emoji2099][emoji2099][emoji2099]23+β65=?
[emoji2][emoji1][emoji1][emoji1] lugha saf sanaaWewe bro ni mtihani tena wa Kembriji. Jizazi...
Ulibeti ya nini sasa kama huwezi kutimiza? Hii ni mara ya saba unaniuliza ze semu kwesheni leo. Unahaha nini? You are rich. Ka iPhone ka $1,000 tu ndo kanakuchachafya hivi bro?. Ukiendelea kuniuliza ze semu kwesheni ageni vibao vinakuhusu aisee [emoji36][emoji36][emoji36]
Naona uko njwii. Lala !!!Uzi umepoa wadau [emoji42][emoji42]
Ha hahWewe bro ni mtihani tena wa Kembriji. Jizazi...
Ulibeti ya nini sasa kama huwezi kutimiza? Hii ni mara ya saba unaniuliza ze semu kwesheni leo. Unahaha nini? You are rich. Ka iPhone ka $1,000 tu ndo kanakuchachafya hivi bro?. Ukiendelea kuniuliza ze semu kwesheni ageni vibao vinakuhusu aisee [emoji36][emoji36][emoji36]
Mamiguu. Mai bigesti wikinesi dadeki [emoji7][emoji7][emoji7]
Nawe pia mamii, njozi njemaTukijaliwa kesho mpendwa hii mada itaendelea tena ishaalah, usiku mwema ndugu zangu wa like.
Mara ya mwisho ulipigana lini ...bare knuckles? Ungekuwa karibu hapa aisee ningekutoa manundu na iPhone hiyo ningeondoka nayo !!!Ha hah
Kwa hiyo unanitishia [emoji51] [emoji51]
Sawa usiku mwema God be with u Mkuu.Naona uko njwii. Lala !!!
Blessings young bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Sawa usiku mwema God be with u Mkuu.
Kumbe unaitaka??Mara ya mwisho ulipigana lini ...bare knuckles? Ungekuwa karibu hapa aisee ningekutoa manundu na iPhone hiyo ningeondoka nayo !!!
Bro niaje?InShaALah π
Uwe na usiku mwema mpendwa..