Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ni hatari sana...Hii kitu sijawahi kupanda wala sitakuja kupanda. Naiogopa sana.
Ni hatari sana...Hii kitu sijawahi kupanda wala sitakuja kupanda. Naiogopa sana.
kweli kabisa[emoji818][emoji818][emoji818]
View attachment 1116881
Kwa hiyo hutaki iPhone Bro?Hawezi kumiliki iPhone kwa vile hana uwezo au kwa vile hataki? Fafanua bro [emoji16][emoji16][emoji16]...
Mengine huwa sijibugi...ngoja SYB aje na jibu huko[emoji16][emoji16][emoji2088]
[emoji818][emoji818]
Ni hatari sana...
[emoji818]his $70 million art collection
InShaALah 🙏Tukijaliwa kesho mpendwa hii mada itaendelea tena ishaalah, usiku mwema ndugu zangu wa like.
Sahihi..Hivyo kuvaa kofia ngumu kunakuepushia majeraha hatari au hata kifo wakati wa ajali.
KweliBaadhi ya abiria hudai kuwa kofia ngumu hazifanyiwi usafi ndiyo maana hawapendi kuzivaa;
MhhDe Ligt juma lililopita alitangaza kuwa uvumi juu ya yeye kujiunga na Man United inabidi upuuzwe.
Wewe bro ni mtihani tena wa Kembriji. Jizazi...Kwa hiyo hutaki iPhone Bro?
Nilipanda Arusha eti niwahi mazishi kidogo jamaa anidondoshe. Hata helmet hakuwa nayo. Kuanzia hapo nikawa keafu. Ni afadhali ya Bajaji japo nazo mnaweza kuparamiwa na wenye magari mkabondeka bondeka...Kabisa Mkuu na maisha ukiwa na viungo vyako vyote vikamilifu ni matamu sana.