Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Usiku mwema mpendwaTukijaliwa kesho mpendwa hii mada itaendelea tena ishaalah, usiku mwema ndugu zangu wa like.
Makosa ya kiufundi yametokea bro. Siri yako
Poa sana bro, nimepitia posts zako nimeona unatangaza nia kwa Hawa bro 😁Bro niaje?
Record keeper sidhani kama kapitwa, yupo hapa.Makosa ya kiufundi yametokea bro. Siri yako
Wapi hapo Bro🤔Poa sana bro, nimepitia posts zako nimeona unatangaza nia kwa Hawa bro 😁
SawasawaKabisa Mkuu na maisha ukiwa na viungo vyako vyote vikamilifu ni matamu sana.
Uwe na usiku mwema Bro.Nami niwaage wakuu. Thanks for the laughs. Niko safarini leo na kampani yenu hapa imefanya masaa yaende kwa kasi. Kesho tena Mungu wetu Akipenda. Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1116981
Nimefanya fasta sidhani kama kaambilia kituRecord keeper sidhani kama kapitwa, yupo hapa.
Dah! Naona Muda wa daku huuNimefanya fasta sidhani kama kaambilia kitu
Aisee maraia wote mnaaga. Dah!Guys mimi pia wacha nipumzike.
Nawatakia usiku mwema.