Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kipindi cha JK walikua wanacheza na jero jero hao sasa usawa huu wa Magu sijui itakuaje...
Hivi bado wapo hao jamaa? Nilikua nikienda mkoa ndio nawaona
Bro mimi sijawai kuwaona hawa jamaa labda itakua wana maeneo yao ya kutambaIna maana Dar hawapo siku hizi? Wakati sisi madogo tulikuwa tunawasubiria mpaka wapite ndio tukalale! [emoji1][emoji1]