The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
[emoji571]
Nimejaa hadi juu😀I see you ☝
Aamin.🙏Amani itawale usiku huu
Umejipendelea yani umejaa, wa pili alafu mrefuuuuNimejaa hadi juu😀
Si ili nionekane haha 😌Umejipendelea yani umejaa, wa pili alafu mrefuuuu
Hivi huwa zina maanisha nini?All stars zimeanikwa juu ya nyaya za umeme
Ndio mana nimekuona mapema sana 😁Si ili nionekane haha 😌
Classy!😍
Mainly huwa ni alama za wauza madawa au marijuana, ukiona hiyo basi supplier yupo around japo wengine wanaweka tu kama urembo kisa wameona sehemu wamewekaHivi huwa zina maanisha nini?