The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Nimejaa hadi juuπI see you β
Aamin.πAmani itawale usiku huu
Umejipendelea yani umejaa, wa pili alafu mrefuuuuNimejaa hadi juuπ
Si ili nionekane haha πUmejipendelea yani umejaa, wa pili alafu mrefuuuu
Hivi huwa zina maanisha nini?All stars zimeanikwa juu ya nyaya za umeme
Ndio mana nimekuona mapema sana πSi ili nionekane haha π
Classy!π
Mainly huwa ni alama za wauza madawa au marijuana, ukiona hiyo basi supplier yupo around japo wengine wanaweka tu kama urembo kisa wameona sehemu wamewekaHivi huwa zina maanisha nini?