Ata ukivunja Sheria za barabarani traffic anakupungia tuClassy!๐
Haha, u can't be seriousAta ukivunja Sheria za barabarani traffic anakupungia tu
Ooh, apo sawa!Mainly huwa ni alama za wauza madawa au marijuana, ukiona hiyo basi supplier yupo around japo wengine wanaweka tu kama urembo kisa wameona sehemu wameweka
Amini hivyo, kuna vitu vinaweza kukufanya kuonekana tofauti na binadamu wengineHaha, u can't be serious
Ni kweli, ukiwa na pesa bwana...โฆโฆโฆโฆ..Amini hivyo, kuna vitu vinaweza kukufanya kuonekana tofauti na binadamu wengine
Mkoa gani huo ulizikuta?Ooh, apo sawa!
Nilikuwa nikiziona sana jiji la makonda, ila hata mkoani nikashangaa kuzikuta pia.
Siri yangu,heheMkoa gani huo ulizikuta?
Heheh! Jamani ata mkoa tu ni siri?Siri yangu,hehe
Haha haha!Heheh! Jamani ata mkoa tu ni siri?
Basi nikupe mji unitajie?
Aya nenda ChatoHaha haha!
nipe mji
Labda nikafate samaki tu,sikai๐คจAya nenda Chato
๐๐ basi baki kwa MakondaLabda nikafate samaki tu,sikai๐คจ