Na Andjul yupo hapo pembeni kajilaza. Kweli stress hakuna!Kwako Bwana nasimama, kwakweli ndani ya Yesu ni raha tuuuuu. Huku gospel ,huku uzi wa likes. Hapo stress zitatoka wapi?
TOA LIKES POKEA LIKES
Jibapa linamuhusu,weitaaaa zungushaaa[emoji481] [emoji481]carbamazepine muongeze crate ya bia na tafuta pombe kali mpe
Andjul kaokoka sasa ni yy na kazi, gospel na nyumbani.Na Andjul yupo hapo pembeni kajilaza. Kweli stress hakuna!
Andjul alianza kuimba gospel ulipomtema na yule dogo Kichwa Kichafu akahamia. Tulisema kachanganyikiwa kumbe ndo ilikuwa spiritual transformation....Mzima wa afya, tupo tumeokoka. Tunapata gospel music hapa.