carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Nakomaa na nini?Una komaa dear
Nakomaa na nini?Una komaa dear
Nimeanza kumpenda huyo babe s siku nyingi mno!Ho Chi Minh naona unaachia mistari tu tena ya neno moja moja. Imemlenga Baby S ama?
Njema sana,anza.kumwaga likes.Habari ya asubuh wapendwa
[emoji23] hiyo mashine labda mchina[emoji125] [emoji125]Carbamazepine jibu limetoka huku
Hahahah karibia nakuwa mama mch.Andjul alianza kuimba gospel ulipomtema na yule dogo Kichwa Kichafu akahamia. Tulisema kachanganyikiwa kumbe ndo ilikuwa spiritual transformation....
Yaaani....kumbe na wewe!!Hakuna mlima wa kuniangusha,ndani yako ninasimama. Siteketei,siangamii....... ka wimbo haka dah basi tu.
Wewe acha utani.... Habari mpya hiiMzee wa data nasikia naye amedata kwa jaki.........
Makes people do crazy thingsLove
Vipi mpendwa, huo mshangao kulikoni?Yaaani....kumbe na wewe!!
Heri..
Nakusalimu sammyluvAje afanye nini