Shabashiiiii ulikosea tena uwiiii nimekosa ubuyuMakosa ya kiufundi yametokea bro. Siri yako
Bado wapo tena idd ndo unawakuta wengi huna hela toa sahan la pilau😂😂😂
Kipindi cha JK walikua wanacheza na jero jero hao sasa usawa huu wa Magu sijui itakuaje...
Hivi bado wapo hao jamaa? Nilikua nikienda mkoa ndio nawaona