myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
11:28
Kumbe pombe hii ya kawaida? Nimekuja mbio mbio nikifikiri ni ile Pombe nyingine unayopambanaga nayo deile 24/7 [emoji16][emoji16][emoji16]![]()
Kwa tukio hili, pombe sasa basi
Nadhani ilikuwa yapata saa 6 na kitu usiku mitaa Sinza siku ya Jana. Nakumbuka kwa mbali wadau niliokuwa nao waliniongoza kuelekea kwenye gari yangu ili niweze kuondoka eneo la tukio. Baada ya hapo nimejikuta nimelala chumbani leo nikiwa na viatu, Kushtuka nikakimbilia nje nikakuta gari...www.jamiiforums.com
JF...Uzi wa likes [emoji16][emoji16][emoji16]Intaneti na simu
Maendeleo yana manufaa yake na hasara zake. Kutokana na kukua kwa teknolojia ya mawasiliano, watu wengi wamejikuta wakitekwa na teknolojia hii hadi kushindwa kutimiza wajibu wao.
Alikosea akaweka viganja vya bae wake (wa sasa). Coco akamuonya mapema mapema (sijui alijuaje) akakimbilia kuifuta picha ila mtunza kumbukumbu nilikuwa online makamera yangu yakawa yameshainyaka tayari. Wameongea weeee eti mtunza kumbukumbu hajaona mi nawacheki tu. Tena nikaaga kabisa kuwa nakwenda kulala [emoji16][emoji16][emoji16]Shabashiiiii ulikosea tena uwiiii nimekosa ubuyu
[emoji16][emoji16][emoji16] Jamaniii !!!Record keeper sidhani kama kapitwa, yupo hapa.
Long, nice, soft fingers (yummy for sucking, caressing and holding mjurubeng/Heineken). Beautiful nails...Fayaaaaaaa !!![emoji2221][emoji2221][emoji2221]Nimefanya fasta sidhani kama kaambilia kitu
Duh! Noma sana 👐👐👐👐Long, nice, soft fingers (yummy for sucking, caressing and holding mjurubeng/Heineken). Beautiful nails...Fayaaaaaaa !!![emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Siku yako inaendeleaje bro?Duh! Noma sana [emoji114][emoji114][emoji114][emoji114]
Heshima yako bro
Siku ipo vyema kabisa kaka, sijui huko kwako?Siku yako inaendeleaje bro?
👊👊[emoji1652][emoji92]
Fasting isn't about how strong you are to stay away from food you like but how you can stay away from things that keep you away from Allah. ......
[emoji1652][emoji92]
Daaah king anainjoy balaa ndani na nje ya JF anadaka wakali wakali wanono weupe pee hadi raha. Zile kucha bana full mpapaso ngwararaaa ngwaraaaa kitoto hakina haja ya kula kungu manga ili jicho liwe mlendaAlikosea akaweka viganja vya bae wake (wa sasa). Coco akamuonya mapema mapema (sijui alijuaje) akakimbilia kuifuta picha ila mtunza kumbukumbu nilikuwa online makamera yangu yakawa yameshainyaka tayari. Wameongea weeee eti mtunza kumbukumbu hajaona mi nawacheki tu. Tena nikaaga kabisa kuwa nakwenda kulala [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa kuangalia tu viganja na nails mtoto ni mkali balaa. Nails ziko well manicured na mtoto ni mweupe na inavyoonekana ni mayai na mwili soft. Hail to his majesty King Dave [emoji122][emoji122][emoji122]
Brooo brooo hahahahaaLong, nice, soft fingers (yummy for sucking, caressing and holding mjurubeng/Heineken). Beautiful nails...Fayaaaaaaa !!![emoji2221][emoji2221][emoji2221]