😂😂 Daah! Itabidi niwe natenganisha mafolder ya pic sasa ipo siku nitaleta ugwajima humuShabashiiiii ulikosea tena uwiiii nimekosa ubuyu
Daah aibu nimeona mimiBado wapo tena idd ndo unawakuta wengi huna hela toa sahan la pilau
Hahaha eti aibu. Hawana aibu na wengi huwa wanavimbewa just imagine wanapita nyumba ishirin,kumi wanaalikwa msosi aina mbali mbali wanafukia wa kutosha,kumi ndo wanapewa helaDaah aibu nimeona mimi
Ntafaidije siku hio uwiiiiii😂😂 Daah! Itabidi niwe natenganisha mafolder ya pic sasa ipo siku nitaleta ugwajima humu
😂😂😂 Beauty plus. DahDaaah king anainjoy balaa ndani na nje ya JF anadaka wakali wakali wanono weupe pee hadi raha. Zile kucha bana full mpapaso ngwararaaa ngwaraaaa kitoto hakina haja ya kula kungu manga ili jicho liwe mlenda
Halafu bro karembo kana gari,kana simu kali ina camera ya beauty plus
Hail to bae wa uzi haaaaaaiiiilll to our dear king muswati
Heeeeeeeiiiiliiiiiiiii to davet[emoji23]
Prisca kanitenga siku hizi wala hanisemeshi nami naogopa kumchokonoa kwa kuogopa vitasa. Naona huwa anagugo hayo maneno akitaka kuyatumia...
Kweli ni aibu hii ndio maana watu wanatusema vibaya kwamba tunapenda wali kwasababu kama hizo hizoHahaha eti aibu. Hawana aibu na wengi huwa wanavimbewa just imagine wanapita nyumba ishirin,kumi wanaalikwa msosi aina mbali mbali wanafukia wa kutosha,kumi ndo wanapewa hela
Ushawahi kukutana na demu anakwambia anasomaga chuo halafu anakutumia text inasomeka hivi:
“Za hasubui Lichadi, Humehamkaje, nirikuwa nakusalimiha tu hafya vipi?”
[emoji16]
Halafu ukiwanyima wanamaindi balaaKweli ni aibu hii ndio maana watu wanatusema vibaya kwamba tunapenda wali kwasababu kama hizo hizo
😂😂😂 basi mama inatosha. Duh!Halafu ukiwanyima wanamaindi balaa
Haya tuhamie kwenye beauty plus tuma tenaaa[emoji23][emoji23][emoji23]😂😂😂 basi mama inatosha. Duh!