Huu uzi kiboko..Mwenzenu huku nawamis mpk naumwa, yaan nilivyowazoea as if tushawahi kuonana.
Nashukuru kwa hilo...habari yako lakini...Cole Williams leo ndio nimeona sawa na mtu anagekuattack nami ninge kubali ban kqma cole
Kula double likes...Kwako Bwana nasimama, kwakweli ndani ya Yesu ni raha tuuuuu. Huku gospel ,huku uzi wa likes. Hapo stress zitatoka wapi?
Yaishie hapa kabla andjul hajaona.Huu uzi kiboko..
Asante sana.Kula double likes...
Hahahaha hongereni...Mzima wa afya, tupo tumeokoka. Tunapata gospel music hapa.
Ukimshika Yesu raha sanaHatua zangu zaongozwa nawe,siangamii siteketei. Katika ww nasimama na ninadumu.