Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,500
- 13,145
Msipande tu!Yeah, nimeisikia hii jana/juzi.Japokua wanajitetea hapakuwahi kuripotiwa hitilafu yoyote inayohusiana na hii hitilafu mpya ...
Kwamba haupo huko?Hatari bro,
Hadi nikajiuliza nimeungwa kwa wakubwa bila kujua nini?
Kuna jamaa kamshauri aPulizie dawa ya mbu
Mi wangu nimeogopa kutoa watu watazmia kwa kucheka
Nimeogopa
Teh ...
Mmh!Finally wamemaliza viungo vyote vya wanadada View attachment 1117499
πππMungu atupe jioni njema...