Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huu uzi nmecheka comment za wakuu !!
 
Yanga yarejeshwa michuano ya Klabu Bingwa 2019/20

JUMANNE , 4TH JUN , 2019
NA MWANDISHI WETU
Shirikisho la Soka Tanzania TFF limetangaz kuwa klabu ya Yanga itaungana na Simba kushiriki michuano ya Klabu Bingwa barani Afrika msimu ujao.



Yanga1.jpg


TFF imesema kuwa taarifa hiyo imethibitishwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika CAF, ambapo katika michuano ya shirikisho barani Afrika, Azam FC na KMC zitaiwakilisha Tanzania.
Hiyo ni kutokana na Tanzania kupanda katika viwango vya ubora wa vilabu katika miaka ya karibuni ambapo hivi sasa imekuwa katika nafasi ya 12, ambapo itapata nafasi ya kuwakilisha timu 4 katika michuano ya kimataifa.
Isome barua ya TFF hapo chini.
D8OEasRWsAA6d71.jpg
Vyuta tupo ..

Oyeee ...
 
Huyu Dada amekutwa amefariki katika mazingira ya kutatanisha pamoja na yote dada huyu ndugu zake hawajulikani!Anajulikana kwa jina la Rehema Atanas Kidaye au Rose ,Na leo hii anazikwa na marafiki na majirani zake maeneo ya Mwananyamala..!! Mungu ailaze Roho ya marehemu Mahala Pema peponi. Wote tuseme #AMEN #RIP 😢View attachment 1117539
RIP Rehema!
 
Back
Top Bottom