Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
IMG-20190604-WA0013.jpeg
 
Ana familia na watoto...

Mechi ya kwanza kwa mchepuko...

Raundi tano...katikati kuna break za kuogeshwa...

Sijui hata kama katumia kinga...

Anaogopa kurudi kwa mkewe sababu ananukia manukato lakini haogopi kuwa anaweza kuwa amechukua UKIMWI na magonjwa mengine anampelekea mkewe...

Ujinga mtupu !!!
 
Yanga yarejeshwa michuano ya Klabu Bingwa 2019/20

JUMANNE , 4TH JUN , 2019
NA MWANDISHI WETU
Shirikisho la Soka Tanzania TFF limetangaz kuwa klabu ya Yanga itaungana na Simba kushiriki michuano ya Klabu Bingwa barani Afrika msimu ujao.

Yanga1.jpg

TFF imesema kuwa taarifa hiyo imethibitishwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika CAF, ambapo katika michuano ya shirikisho barani Afrika, Azam FC na KMC zitaiwakilisha Tanzania.
Hiyo ni kutokana na Tanzania kupanda katika viwango vya ubora wa vilabu katika miaka ya karibuni ambapo hivi sasa imekuwa katika nafasi ya 12, ambapo itapata nafasi ya kuwakilisha timu 4 katika michuano ya kimataifa.
Isome barua ya TFF hapo chini.
D8OEasRWsAA6d71.jpg
 
Asa wanangu wa Yanga piga keleleee....ila dah hata tukienda tunaweza angukia pua tu hali bado si nzuri 😢
 
Usimdharau mtu yeyote angali uhai,kila mtu anastahili heshima na upendo.Utakapofariki watu hawatajali ulikuwa mzuri wa sura kiasi gani wala ulikuwa tajiri vipi watu watazungumza ni kwa namna gani uliishi na watu na mchango chanya uliokuwa nao katika maisha ya watu,nakukumbusha mimi na wewe tujitathmini.
 
Back
Top Bottom