Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hebu nione kwenye huu ufalme basi[emoji23][emoji23][emoji23]
#nidhambikupitwanaubuyu#
Huyu kijana huwa anakosea na kutuma picha zake kisha fasta anashtuka na kufuta. Jana bana kakosea katuma kucha za wifi yetu ,according to bro wifi ana mvuto anzia nywele za kichwani hadi msabwax wa haja bila kusahau miguuu
 
Huyu Dada amekutwa amefariki katika mazingira ya kutatanisha pamoja na yote dada huyu ndugu zake hawajulikani!Anajulikana kwa jina la Rehema Atanas Kidaye au Rose ,Na leo hii anazikwa na marafiki na majirani zake maeneo ya Mwananyamala..!! Mungu ailaze Roho ya marehemu Mahala Pema peponi. Wote tuseme #AMEN #RIP 😢
61681945_145204209967721_7232791718083422333_n.jpg
 
Hawana umoja democrats kama republicans. Wenyewe kwa wenyewe wanapingana kuhusu impeachment ambayo kwa sasa haina support kubwa kama opinion polls zinavyoonyesha.

Democrats hawana strategy. Na sasa wanataka kuingia kwenye mtego wa impeachment. Biden tu akipata mdororo 2020 Trump atashinda kirahisi tu.
 
Huyu kijana huwa anakosea na kutuma picha zake kisha fasta anashtuka na kufuta. Jana bana kakosea katuma kucha za wifi yetu ,according to bro wifi ana mvuto anzia nyewe za kichwani hadi msabwax wa haja bila kusahau miguuu
Mnazidi tu kuniumiza roho. Sijalala jamani...Wakubwa wanafaudu [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Mwenyezi ailaze roho yake mahali pema peponi 🙏🏽

Huyu Dada amekutwa amefariki katika mazingira ya kutatanisha pamoja na yote dada huyu ndugu zake hawajulikani!Anajulikana kwa jina la Rehema Atanas Kidaye au Rose ,Na leo hii anazikwa na marafiki na majirani zake maeneo ya Mwananyamala..!! Mungu ailaze Roho ya marehemu Mahala Pema peponi. Wote tuseme #AMEN #RIP 😢View attachment 1117539
 
Huyu Dada amekutwa amefariki katika mazingira ya kutatanisha pamoja na yote dada huyu ndugu zake hawajulikani!Anajulikana kwa jina la Rehema Atanas Kidaye au Rose ,Na leo hii anazikwa na marafiki na majirani zake maeneo ya Mwananyamala..!! Mungu ailaze Roho ya marehemu Mahala Pema peponi. Wote tuseme #AMEN #RIP [emoji22]View attachment 1117539
Nimeona mahali wanasema eti kauwawa. Dunia hii. Apumzike kwa amani. Aliyemuua naye siku moja atajibu. Ni suala la muda tu !!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]asante kwa zawadi.
Sasa nawaza na hizi mbwa za hapa mtaani na hiki kitoweo sijui kama ntafika nyumban salama.

Niko poa sijui wewe
[emoji23][emoji23][emoji23]kitafika just muazime davet mbio zake anazotimuaga mida ya uzinduzi

Shwari kabisa,nikiinjoi movie za bae wa uzi wetu pendwa
 
Back
Top Bottom