Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20190604_055050_315.jpeg
 
LIVERPOOL hawana ujanja kwa Jurgen Klopp kwa sasa. Baada ya kuwapa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya sasa wanachofikiria ni kumsainisha dili jipya watakalokuwa wanamlipa Pauni 10 milioni kwa mwaka.
 
Mkataba huo mpya mkubwa kabisa kwa Klopp unakuja baada ya kuifanya timu hiyo kubeba taji lake la sita la Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuwachapa Tottenham Hotspur kwenye mchezo wa fainali uliofanyika Madrid Jumamosi iliyopita.
 
Mshahara huo mpya utamfanya Klopp ashike namba mbili kwenye orodha ya makocha wanaolipwa mishahara mikubwa kwenye Ligi Kuu England, nyuma ya Pep Guardiola anayelipwa Pauni 15 milioni kwa mwaka huko Manchester City.
 
Back
Top Bottom