Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20190604_052117_856.jpeg
 
Bro bana haueleweki kama ugali wa hamira. Dave keshakua mkubwa lini sema andaeitini anafwaidiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23]
Misemo hii huwa haibadiliki kufuata mhusika...

Hata kama ni andaeitini kiumri lakini kuna kitu kinachompa ukubwa...na pengine ndicho hicho kinamfanya afaudu hawa watoto wakali ambao wengine tunaishia kuwafaudu kwenye picha tu na ndotoni.

Na tunaposema wakubwa wanafaudu mara nyingi hatumaanishi umri. Yaweza kuwa ukubwa wa pesa, madaraka, charisma, status, handsomeness, fame na cho chote kile kinachomfanya mtu apapatikiwe na mademu (mf. umwamba kitandani, giant mjurubeng etc etc etc...)
 
Back
Top Bottom