Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hivi katika historia ya humu ndani hakuna aliewahi kukosea akajiweka watu wakamnasa?Mwezi ujao[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi katika historia ya humu ndani hakuna aliewahi kukosea akajiweka watu wakamnasa?Mwezi ujao[emoji23][emoji23][emoji23]
duh! wewe...Hehehhee maisha mafupi haya bora kuinjoy mauno ya mbaba mutu muzima gwajiiii
Bro alishakosea ila tulikua slow hatukumgunduaHivi katika historia ya humu ndani hakuna aliewahi kukosea akajiweka watu wakamnasa?
[emoji23][emoji23][emoji23] akili za kiporo cha maharage hizi jiraniduh! wewe...
Hiyo siku kama nilikuepo hivi kuna pic aliweka nikahisi ndio yeye ila hiyo pic nahisi Cole aliichukua mana alikuja kuirepost siku nyingine. Kama nitakua sahihiBro alishakosea ila tulikua slow hatukumgundua
May be ila nakumbuka ilikua kabla ya uzinduzi wa kwanzaHiyo siku kama nilikuepo hivi kuna pic aliweka nikahisi ndio yeye ila hiyo pic nahisi Cole aliichukua mana alikuja kuirepost siku nyingine. Kama nitakua sahihi
👐 kweli akufukuzae hakuambii toka, aya bye 😀May be ila nakumbuka ilikua kabla ya uzinduzi wa kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23]banaa👐 kweli akufukuzae hakuambii toka, aya bye 😀
The King anakula ujana to the max indeed wallahi...Daaah king anainjoy balaa ndani na nje ya JF anadaka wakali wakali wanono weupe pee hadi raha. Zile kucha bana full mpapaso ngwararaaa ngwaraaaa kitoto hakina haja ya kula kungu manga ili jicho liwe mlenda
Halafu bro karembo kana gari,kana simu kali ina camera ya beauty plus
Hail to bae wa uzi haaaaaaiiiilll to our dear king muswati
Heeeeeeeiiiiliiiiiiiii to davet[emoji23]
Kwani kuna wengine bado?Kwa wale walioswali IDDI leo, Nawatakia heri ya Iddi.
IDDI MUBARAK
Na wewe bro ni Mzaramo kwani? [emoji2099][emoji2099][emoji2099]Kweli ni aibu hii ndio maana watu wanatusema vibaya kwamba tunapenda wali kwasababu kama hizo hizo
Ila the King dah !!!Haya tuhamie kwenye beauty plus tuma tenaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Simple. Chukua picha zote tata na video za uGwajima (hazipaswi kuwa kwenye simu to begin with) halafu zihamishie kwenye private folder ambayo kuifikia ni lazima uwe na PIN...Sasa si mpaka application au browser ikusaidie kuzichambua
Amekimbia mkuuKwanini asianze kutoa mtoa mada?!
Kumbe pombe hii ya kawaida? Nimekuja mbio mbio nikifikiri ni ile Pombe nyingine unayopambanaga nayo deile 24/7 [emoji16][emoji16][emoji16]