Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hapana sijawahi. Siku ile nilikuwa natania tu...Hata vile viganja vya samaki havikuwa vyangu. Siwekagi personal pics kwenye simu.Bro alishakosea ila tulikua slow hatukumgundua
Hapana sijawahi. Siku ile nilikuwa natania tu...Hata vile viganja vya samaki havikuwa vyangu. Siwekagi personal pics kwenye simu.Bro alishakosea ila tulikua slow hatukumgundua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila the King dah !!!
Usiku kucha nawaza vile viganja [emoji7][emoji7][emoji8][emoji8]
Sijawahi kuweka picha yangu humu. Mtu pekee hapa kwenye uzi aliyewahi kufanya hivyo ni the One and Only One...japo nadhani hakuna aliyebahatika kuinyaka mbali na mlengwa...Hiyo siku kama nilikuepo hivi kuna pic aliweka nikahisi ndio yeye ila hiyo pic nahisi Cole aliichukua mana alikuja kuirepost siku nyingine. Kama nitakua sahihi
Kwani kuna wengine bado?
View attachment 1117331
Komeshaaa[emoji1][emoji1][emoji23][emoji23]View attachment 1117343