Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hiyo picha inaonyesha wana woga fulani hivi. Trump anadhani yeye ni King kufanya vile atakavyo na Republicans wamepiga kimya tu. Angeyafanya haya Obama wangeweza hata kuingia WH ili kumtoa kwa nguvu.

Trump bana...

Kaweka hawa watoto kwenye nafasi nyeti serikalini bila qualifications wala experience yo yote. Demokrasia ni dhana pana sana !!!
 
Kweli kabisa na mifano iko mingi sana ya KARMA kufanya vitu vyako.

Ukifanya kosa ukamtupa mliyehangaika naye ukaenda kula na wapya karma haitakuacha salama na mara nyingi watu wa hivyo mwisho wao huwa mbaya sana. Ama wanafilisika na kuwa hohehahe kuliko hata mwanzo au afya inakuwa mgogoro tuu mpaka wanakufa vifo vya aibu bila msaada...
 
Daaah king anainjoy balaa ndani na nje ya JF anadaka wakali wakali wanono weupe pee hadi raha. Zile kucha bana full mpapaso ngwararaaa ngwaraaaa kitoto hakina haja ya kula kungu manga ili jicho liwe mlenda

Halafu bro karembo kana gari,kana simu kali ina camera ya beauty plus

Hail to bae wa uzi haaaaaaiiiilll to our dear king muswati

Heeeeeeeiiiiliiiiiiiii to davet[emoji23]
Hebu nione kwenye huu ufalme basi[emoji23][emoji23][emoji23]
#nidhambikupitwanaubuyu#
 
Hiyo picha inaonyesha wana woga fulani hivi. Trump anadhani yeye ni King kufanya vile atakavyo na Republicans wamepiga kimya tu. Angeyafanya haya Obama wangeweza hata kuingia WH ili kumtoa kwa nguvu.
Yeah!

Imagine eti Sasha na Malia ndo wangekuwa wakubwa halafu baba yao afanye hivi weeee !!! Hata civil war ingepiganwa aisee...Mahillibillies na majemedari wao akina Limbaugh, Hannity, Ingraham na Breitbart huko aisee wasingekubali...

Demokrasia yao huyu jamaa ameiyumbisha sana...
 
IMG_2285.JPG
 
Inashangaza na kusikitisha kwa kweli na 2020 anaweza kabisa kushinda tena huyu.

Back
Top Bottom