Nimeona hao jamaa wameshika ndorobo zao au kwan habari inahusu nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1117745
Numbisa Binti Mpole habari hii unayo ???
Wozaaaaaaaaaa !!![emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1117367
Duh! Hii hatari
Poleni wasafiri wote
Poleni wa daladala na bajaji
Poleni wafanyakazi wote
Poleni wakulima wote