Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Unazuga nirushie na mimi hiyo picha nimuone wifi yangu hata kucha tu
Unazuga nirushie na mimi hiyo picha nimuone wifi yangu hata kucha tu
Kumbe GK nae unamjua?Alaa ahsante mm hapo nawatambua watatu tu
Nitafurahi sana...[emoji4]
Hahaha, kesho nitakuja nimejifunza kinyumbani kidogo nikutanie[emoji125]
😊😊😊Am not happy.
Haha, hapana ila nina jirani wakwenuKumbe na wewe ni wa ukae? [emoji1]
Kizazi hiki ni tatizo...Kumbe na wewe ni wa ukae? [emoji1]
Tukutane kule uliponirushia sura nikuoneUnazuga nirushie na mimi hiyo picha nimuone wifi yangu hata kucha tu
Bro nakutakia Eid njema.Sema TH...
Sikifamu yes, ila napendaga ngosha mmoja anavyokiongea [emoji38]Nitafurahi sana...
Kinyumbani mpaka ujifunze? Hukifahamu?
Huku kwetu mda wote.....Kama wanipenda ila maisha yangu maseeke michicha milenda ndo menyu yangu na ya kuku mateke yanichenga kila siku kilio salini nicheke
Please don'tAm not happy.
Wapi tena mzee[emoji2211] [emoji2211]
Ole wako siku uweke hapa jukwaani yaani vita hakuna ataweza kuamua 😀😀😀😀Tukutane kule uliponirushia sura nikuone
Mateja wanatinga viwalo vyetu ukifua kumbuka kuvilindaHuku kwetu mda wote.....
Ahsante kwa tabasamu Mpendwa😊😊😊
Asante kwa kunishukuru mpendwaAhsante kwa tabasamu Mpendwa
Mimi bado nimepanga.....Mateja wanatinga viwalo vyetu ukifua kumbuka kuvilinda
[emoji16][emoji16] mhPlease don't