Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
😀Next time ongezea [emoji443][emoji444][emoji445] ili watu tusisumbuke...
😀Next time ongezea [emoji443][emoji444][emoji445] ili watu tusisumbuke...
Mambo Prisca, nimekukosa pia.Daemusin leo umeadimika
So asokupenda achana nae...anaekupenda pendana nae mambo saaa hz ya......hebu cheza ufurah kama songi limekosa asa inama hebu pinda mugongoDangote Penzi halijali umasikini....naweza penda mtu yeyote...penzi yoyoyo limeleta kwa wanangu viita siku hizi siwaoni naishia ku wa like insta hivyo
Aiseee! watu wamepinda!
Tuliokaa mkao wa kusubiria mwaliko/mialiko tukutane hapa! [emoji1][emoji1]
Sijambo mpendwa,wapi ulinikosa Capitalpool 🤔Sawa mpendwa.
Hujambo lakini Mpendwa? Nilikukosa sana
Mpenzi Idd Mubarak,pilau usinikose kesho ishaalah
Shukrani kaka,tuelekezane nikuje mimi Chezea pilau 😋Karibu nyumbani dadake
Tukutane kwangu mpendwa! Ila usije na wanao tafadhali.
"Chezea pilau" 🏃♀️🏃♀️🏃♀️Shukrani kaka,tuelekezane nikuje mimi Chezea pilau 😋
Halafu kama Ghost wake yupo nasi hivi..
Usitishwee naa vimbelembelee ooh wanaopiga kelelelele eti kujifanya vihere here kwa sisi hawataweza and I want them to know oya eee eee you the One I love One n Only eee[emoji441]My heart can never tell me lies...I know u love me and love is true n I feel the same way I cant deny baby njoo nikuhole I will die for you asa...
Kesho nashindwa hata naelekea wapi nina mialiko 😀😀😀"Chezea pilau" 🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Karibu home jirani,
Pale pale Kitumbini mtaa wa mshihiri, uje na marafiki wote, baada swala IDI msikiti wa Ibaadhi Moscow street, tutaanza na chai baadaye mambo mengine yataendelea[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]